Bocholt

From Wikipedia, the free encyclopedia

Bocholt
Remove ads

Bocholt ni manispaa ilipo mjini kaskazini-magharibi mwa jimbo la Rhine Kaskazini - Westfalia, Ujerumani, katika moja kati ya sehemu y wilaya ya Borken. Mji upo 4 km kusini mwa mpaka wa nchi ya Uholanzi. Takriban watu 73,640 wanaishi huko (sensa ya 2006).

Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Thumb
Mji wa Bocholt
Remove ads

Viungo vya Nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bocholt kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads