Booth Tarkington

From Wikipedia, the free encyclopedia

Booth Tarkington
Remove ads

Newton Booth Tarkington (29 Julai 1869 19 Mei 1946) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Alituzwa Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi mara mbili: mwaka wa 1919 kwa riwaya yake The Magnificent Ambersons, na mwaka wa 1922 kwa riwaya yake Alice Adams.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Booth Tarkington kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Thumb
Booth Tarkington, 1922
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads