Bregenz
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Bregenz ni mji mkuu wa Vorarlberg nchini Austria. Iko karibu na ziwa kubwa la Ziwa la Konstanz kama 427m juu ya UB. Idadi ya wakazi wake ni takriban 27.000.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Austria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bregenz kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |

Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads