Camillo Golgi

Daktari, patholojia, mwanasayansi, na mshindi wa Tuzo ya Nobel wa Kitaliana (1843-1926). From Wikipedia, the free encyclopedia

Camillo Golgi
Remove ads

Camillo Golgi (7 Julai 184421 Januari 1926) alikuwa daktari kutoka nchi ya Italia. Hasa alichunguza mfumo wa neva. Mwaka wa 1906, pamoja na Santiago Ramon y Cajal alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

'

Ukweli wa haraka Amezaliwa, Amefariki ...
Thumb

Golgi alikuwa mhadhiri wa histolojia wa Chuo Kikuu cha Pavia, ambapo alitumia sehemu kubwa ya kazi yake. Jina lake linaendelea kuheshimiwa katika kazi yake yasayansi

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Camillo Golgi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads