Carl Bosch

From Wikipedia, the free encyclopedia

Carl Bosch
Remove ads

Carl Bosch (27 Agosti 1874 26 Aprili 1940) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza njia za usanisi kwa kanieneo kubwa. Mwaka wa 1931, pamoja na Friedrich Bergius alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carl Bosch kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

'

Ukweli wa haraka Amezaliwa, Amefariki ...
Thumb
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads