Carl Ferdinand Cori

From Wikipedia, the free encyclopedia

Carl Ferdinand Cori
Remove ads

Carl Ferdinand Cori (5 Desemba 189620 Oktoba 1984) alikuwa wanakemia kutoka nchi ya Ucheki.

Thumb
Thumb
Gerty Theresa Cori mnamo mwaka 1947

Baada ya kufunga ndoa na mkewe Gerty Cori mwaka wa 1920, walihamia Marekani na kupata uraia wa huko mwaka 1922.

Hasa alichunguza umetaboli wa kabohaidreti katika kiumbehai cha wanyama.

Mwaka wa 1947, pamoja na mkewe Gerti na Bernardo Houssay alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carl Ferdinand Cori kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads