Chachu

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Chachu ni kitu au jambo linalochochea kitu au jambo lingine chanya au hasi kutokea, kwa mfano hamira inayofanya unga uliokandwa uvimbe. Katika biolojia ni bakteria hasa wanaofanya kazi hiyo. Teknolojia inatumia ujuzi huo kufikia malengo yake mbalimbali.

Tazama pia

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chachu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads