Chadrac Akolo
Mchezaji mpira wa Kongo. Anacheza kama winga wa kushoto katika FC St. Gallen. From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Chadrac Akolo (alizaliwa 1 Aprili 1995) ni mchezaji wa klabu ya VfB Stuttgart mbaye anacheza kama kiungo na timu ya taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Remove ads
kazi ya klabu
Mnamo 1 Februari 2016, Akolo aliyezaliwa Kinshasa alijiunga na klabu ya Neuchâtel Xamax kwa mkopo mpaka mwisho wa msimu wa 2015-16. Mnamo tarehe 9 Julai 2017, Akolo alisaini mkataba wa miaka minne(4) na VfB Stuttgart.
![]() |
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chadrac Akolo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads