Chafya

From Wikipedia, the free encyclopedia

Chafya
Remove ads

Chafya (kwa Kiingereza: Sneeze) ni hewa inayomtoka kiumbehai ghafla na kwa nguvu, bila hiari yake. Hutoka mapafuni kupitia mdomoni na puani sawia. Sababu inaweza kuwa mafua au kuingiwa na vumbi.

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chafya kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Thumb
Mtu akipiga chafya.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads