Chama tawala

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Chama tawala ni istilahi ya siasa inayotaja chama kilichoshika uongozi wa nchi, kwa kawaida kupitia uchaguzi.

Shida inayoweza kujitokeza ni kudai chama hicho kiendelee kutawala milele, hata bila ridhaa ya wananchi.

Wanaopinga uongozi wa chama tawala na serikali yake wanaitwa wanasiasa wa upinzani.

Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chama tawala Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads