Charles Dawes

From Wikipedia, the free encyclopedia

Charles Dawes
Remove ads

Charles Gates Dawes (27 Agosti 186523 Aprili 1951) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Marekani. Kuanzia 1925 hadi 1929 alikuwa Kaimu Rais chini ya Rais Calvin Coolidge. Mwaka wa 1925, pamoja na Austen Chamberlain alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel kwa Amani.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Charles Dawes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Thumb
Thumb
Charles Dawes
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads