Chennai

From Wikipedia, the free encyclopedia

Chennai
Remove ads

Chennai ni jina la mji mkuu wa jimbo la Tamil Nadu katika Uhindi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2001, mji una wakazi wapatao milioni 4.6 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 6 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Thumb
Moja ya sehemu ya mji wa Chennai ulioko ndani ya jimbo la Tamil Nadu
Remove ads

Viungo vya nje


Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Chennai kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads