Chetezo

From Wikipedia, the free encyclopedia

Chetezo
Remove ads

Chetezo (kwa Kiingereza thurible) ni kifaa kinachotumika kufukizia matakatifu kwa kupakaza moshi wa ubani hasa wakati wa ibada.

Thumb
Chetezo na vinginevyo (museum De Crypte, Gennep, Uholanzi).
Thumb
Padri na shemasi wa Kiorthodoksi wakiingia na chetezo altareni kwa Masifu ya jioni.
Thumb
Chetezo cha dhahabu cha Kiorthodoksi kikiwa na minyororo minne na kengele.

Desturi hiyo ya Israeli imeenea katika Ukristo na madhehebu yake mengi, ingawa si yote[1].

Nje ya dini, chetezo kinatumika pengine katika ushirikina na mikutano ya Wamasoni n.k.[2][3]

Remove ads

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads