Christopher Lee
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Sir Christopher Frank Carandini Lee (27 Mei 1922 – 7 Juni 2015) alikuwa mwigizaji, mwimbaji na mtunzi wa riwaya kutoka nchini Uingereza. Kwa kazi aliyofanya karibia miaka 70, Lee awali alicheza kama adui na kuwa mashuhuri kupitia kiasi kwa uhusika wake kama Count Dracula katika mfululizo wa filamu za kutisha za Hammer. Nyusika zake zingine za filamu ni pamoja na Francisco Scaramanga kwenye filamu ya James Bond The Man with the Golden Gun (1974), Saruman kwenye mfululizo wa za The Lord of the Rings (2001–2003) na trilojia ya The Hobbit (2012–2014), na Count Dooku katika filamu mbili za mwisho za Star Wars (2002 na 2005) na Star Wars: The Clone Wars (2008).
Remove ads
Remove ads
Marejeo
Bibliografia
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads