Ciara

From Wikipedia, the free encyclopedia

Ciara
Remove ads

Ciara (alizaliwa 25 Oktoba 1985) ni mwimbaji, mwandishi na mtayarishaji wa muziki wa Marekani.

Ukweli wa haraka Maelezo ya awali, Jina la kuzaliwa ...

Ciara alianza kazi yake ya uanamuziki mwaka 2002 alipokutana na produza Jazze Pha, ndipo aliposaini mkataba na lebo yake iliyoitwa LaFace Records.

Mwaka 2004 alitoa albamu iliyoitwa Goodies na alifanikiwa kugombania tuzo za 48th Annual Grammy Awards.

Mwaka 2006 alitoa albamu yake ya pili iliyoitwa Ciara: The Evolution iliyokusanya nyimbo kama Promise, Get Up na Like a boy.

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ciara kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads