Concepción, Chile

From Wikipedia, the free encyclopedia

Concepción, Chile
Remove ads

Miji ya Concepción ni jina la mji mkuu wa mkoa wa Biobío katika Chile. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2002, mji una wakazi wapatao 216,061 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 12 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Thumb
Thumb
Ramani ya Concepción


Remove ads

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Chile bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Concepción, Chile kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads