Cuiabá

From Wikipedia, the free encyclopedia

Cuiabá
Remove ads

Cuiabá ni jina la mji mkuu wa jimbo la Mato Grosso katika Brazil. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji una wakazi wapatao 550,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 165 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Ukweli wa haraka
Makala hii kuhusu maeneo ya Brazil bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Cuiabá kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Thumb
Mji wa Cuiabá
Ukweli wa haraka Nchi, Kanda ...
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads