Dallas Mavericks

Timu ya Wataalam wa Mpira wa Kikapu nchini Marekani From Wikipedia, the free encyclopedia

Dallas Mavericks
Remove ads

Dallas Mavericks ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Dallas, Texas. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Dirk Nowitzki.

Thumb
Mmoja kati ya wachezaji wa timu ya Dallas Mavericks ya mpira wakikiapu

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Dallas Mavericks kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads