Danilo II

From Wikipedia, the free encyclopedia

Danilo II
Remove ads

Danilo II (kwa Kiserbia: Данило II) alikuwa askofu mkuu wa Waserbia miaka 1324-1337.

Thumb
Mt. Danilo II katika mchoro wa ukutani, Monasteri ya Peć.

Akiwa kwanza mmonaki, aliandika kumbukumbu za watu na matukio mbalimbali ambazo ni kati ya maandishi muhimu ya Kiserbia.

Anaheshimiwa na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Tazama pia

Tanbihi

Vyanzo

Marejeo mengine

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads