Debora Fernandes
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Debora Fernandes (anajulikana pia kama Debora Fernandes Mavambo; alizaliwa Luanda, Angola, 17 Februari 1991) ana uraia wa Angola na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo[1]. Ana urefu wa mita 1.78 na anacheza nafasi ya kiungo wa kati.
Kabla ya kujiunga na Simba S.C. tarehe 6 Julai mwaka 2024, Débora alichezea timu mbalimbali katika ligi za ndani za Angola na Kongo. Ni mchezaji mshindani na Ana uwezo mkubwa wa kucheza katika nafasi za kiungo wa kati na kiungo wa ulinzi, ubora wake wa kukaba na kuchezesha umefanya alete uzoefu mkubwa kwenye kikosi cha Simba.
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads