Demi Lovato
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Demetria Devonne "Demi" Lovato (alizaliwa 20 Agosti 1992) ni mwigizaji wa filamu na mwimbaji wa kike wa nchini Marekani. Alianza kuigiza filamu akiwa na umri wa miaka kumi tu. Baadaye akaanza kuimba pia katika bendi, na kutoa albamu kama Don't Forget, Here we go Again na Unbroken.
Remove ads
Filamu Alizoigiza
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Demi Lovato kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads