Diego Forlán
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Diego Forlán (alizaliwa 19 Mei 1979) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Uruguay. Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Uruguay.

Forlán ameichezea timu ya taifa ya Uruguay tangu mwaka wa 2002. Forlán alicheza Uruguay katika mechi 112, akifunga mabao 36.[1]
Takwimu
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads