Domeni
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Domeni (kutoka Kiingereza: Domain) ni ngazi inayotumika katika biolojia kuainisha viumbehai wote katika makundi. Kila domeni imegawanyika katika himaya kadhaa.

Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads