Dorothy Hodgkin

From Wikipedia, the free encyclopedia

Dorothy Hodgkin
Remove ads

Dorothy Mary Crowfoot Hodgkin (12 Mei 1910 29 Julai 1994) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza mfumo wa misombo mbalimbali, kwa mfano vitamini B12. Mwaka wa 1964 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dorothy Hodgkin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Thumb
Thumb
Dorothy Hodgkin
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads