Durham, North Carolina
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Durham ni mji wa Marekani katika jimbo la North Carolina. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao 223,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 123 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Remove ads
Tazama pia
- Chuo Kikuu cha Duke
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Durham, North Carolina kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads