Edith Wharton

From Wikipedia, the free encyclopedia

Edith Wharton
Remove ads

Edith Wharton (24 Januari 1862 11 Agosti 1937) alikuwa mwandishi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Jina lake la kuzaliwa ni Edith Newbold Jones. Mwaka wa 1921, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake The Age of Innocence.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Edith Wharton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Thumb
Edith Wharton, takriban 1889
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads