Edward Adelbert Doisy

From Wikipedia, the free encyclopedia

Edward Adelbert Doisy
Remove ads

Edward Adelbert Doisy (13 Novemba 189323 Oktoba 1986) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza usanisi wa homoni mbalimbali na vitamini K. Mwaka wa 1943, pamoja na Henrik Dam alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Edward Adelbert Doisy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Thumb
Edward Doisy
Thumb
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads