Ella Fitzgerald

From Wikipedia, the free encyclopedia

Ella Fitzgerald
Remove ads

Ella Fitzgerald (25 Aprili 1917 15 Juni 1996) alifahamika kama muimbaji wa kike wa muziki wa Jazz (Lady of songs). Ella Fitzgerald au mama Ella sauti yake ilikuwa ni muhimu sana kwenye muziki wa Jazz na hata mitindo mingine ya muziki katika karne ya ishirini.

Ukweli wa haraka Maelezo ya awali, Jina la kuzaliwa ...

Ella Fitzgerald alizaliwa 25 Aprili 1917 mjini Newport News (Va- Marekani). Ella ameshirikiana na wanamuziki wengi mojawapo ni Louis Armstrong "Satchimo" huyu alikuwa ni mpiga tarumpeta mashuhuri. Mama Ella alizama zaidi katika mtindo wa Swing Jazz.

Kati ya nyimbo alizowahi kuimba ni: That old black magic; Can't we be friends?; Love is the thing so they say; It's a blue wold; Dedicated to you; If you ever should live na Sugar blues. Alifariki mwaka 1996.

Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads