Emil Theodor Kocher
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Emil Theodor Kocher (25 Agosti 1841 – 27 Julai 1917) alikuwa daktari mpasuaji kutoka nchi ya Uswisi. Alifanya na kuboresha pasuaji nyingi, hasa ya tezi dundumio. Mwaka wa 1909 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.


Viungo vya Nje
![]() |
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Emil Theodor Kocher kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads