Eneo bunge la Kiharu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Eneo bunge la Kiharu (zamani liliitwa Mbiri) ni jimbo la uchaguzi nchini Kenya, moja kati ya majimbo saba ya Kaunti ya Murang'a. Mji wa Murang'a unapatikana ndani ya eneo bunge hilo.
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads