Enya (amezaliwa tar. 16 Mei 1961 mjini Gweedore, Donegal) ni mwanamuziki wa Pop na mwigizaji kutoka nchini Éire.
Remove ads
Albamu alizotoa
Enya ametoa albamu 7. Albamu hizo ni kama ifuatavyo:
- Watermark (1988)
- Shepherd Moons (1991)
- The Celts (1993)
- The Memory of Trees (1995)
- A Day Without Rain (2000)
- Amarantine (2005)
- And Winter Came... (2008).
Tovuti zake zilizo rasmi
- Official site Ilihifadhiwa 10 Septemba 2008 kwenye Wayback Machine.
![]() |
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Enya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads