Enyimba F.C.
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Enyimba F.C. maarufu kwa jina la Enyimba, ni klabu ya mpira wa miguu inayopatikana kwenye mji wa Aba nchini Nigeria.
Inashiriki katika mashindano ya Ligi kuu ya Nigeria. Maana ya jina lao kwa lugha ya Kiigbo ni Tembo wa Watu, jina hili la utani hutumiwa na mji wa Aba pia.[1]
Ikiwa imeanzishwa mwaka 1976, umaarufu wa klabu hii ulianza kuonekana miaka ya 2000 na kwasasa inatambulika kama klabu yenye mafanikio zaidi kutokea nchini Nigeria, hii ni kwasababu walifanikiwa kushinda mataji mawili ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Mataji tisa ya ligi kuu ya Nigeria na mataji manne ya Kombe la shirikisho Nigeria, mafanikio hay ani kuanzia mwaka 2001.[2] Taji la hivi karibuni walifanikiwa kushinda ligi ya Nigeria kwa msimu wa 2022-23.[3]
Remove ads
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads