Ernest Hemingway

From Wikipedia, the free encyclopedia

Ernest Hemingway
Remove ads

Ernest Miller Hemingway (21 Julai 18992 Julai 1961) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Hasa aliandika riwaya, k.m. "Mzee na Bahari" (kwa Kiingereza The Old Man and the Sea) iliyotolewa mwaka wa 1952; akatuzwa Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya hiyo mwaka wa 1953. Mwaka wa 1954 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi. Alikufa alipokuwa akisafisha bunduki yake. Watu wanaendelea kujadili kama alijiua au kufa kwa ajali.

Ukweli wa haraka
Remove ads
Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ernest Hemingway kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Ukweli wa haraka Amezaliwa, Amekufa ...
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads