Felicia Lang
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Agent Felicia Lang ni jina la kutaja uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani, maarufu kama Prison Break. Uhusika huu ulichezwa na Barbara Eve Harris. Lang alainza kuonekana katika msimu wa pili wa mfululizo, maarufu kama "Scan", akiwa kama mmoja kati ya makachero wa FBI aliokuwa akishirikiana karibu kabisa na Alexander Mahone kwa kuwaruisha wale Fox River Eight.
Remove ads
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads