Forlì
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Forlì ni mji wa Italia katika mkoa la Emilia-Romagna. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 120,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 34 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Remove ads
Tazama pia
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads