Franco Nero
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Franco Nero (amezaliwa 23 Novemba 1941) ni mwigizaji filamu wa Italia, aliyewahi kuwika katika filamu za western, maarufu kama Spaghetti Western. Moja kati ya filamu alizocheza Nero ni ile ya Django, iliyochezwa mwaka 1966, hii ni miongoni mwa filamu zake ambazo zilitamba sana miaka ya 1960 na miaka ya 1970.
Remove ads
Tazama Pia
Viungo vya nje
![]() |
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Franco Nero kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads