Frédéric Mistral
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Frédéric Mistral (8 Septemba 1830 – 25 Machi 1914) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Ufaransa. Hasa alijishughulikia na kufufua lugha ya Provence inayozungumzwa sehemu za Kusini za Ufaransa. Aliandika mashairi mengi katika lugha hiyo na kutolea kamusi. Mwaka wa 1904 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.


Remove ads
Maandishi yake
- Mirèio (1859)
- Calendau (1867)
- Nerto (1884)
![]() |
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Frédéric Mistral kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads