Fritz Lipmann

From Wikipedia, the free encyclopedia

Fritz Lipmann
Remove ads

Fritz Albert Lipmann (12 Juni 1899 24 Julai 1986) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani; baadaye alihamia Marekani. Hasa alichunguza vimeng’enya katika chembe hai vibadilishavyo chakula kuwa nishati. Mwaka wa 1953, pamoja na Hans Krebs alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fritz Lipmann kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Thumb
Fritz Lipmann
Thumb
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads