Georg Wittig

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Georg Wittig (16 Juni 1897 26 Agosti 1987) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza misombo mbalimbali. Mwaka wa 1979, pamoja na Herbert Brown alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Georg Wittig kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Thumb
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads