George Wald

From Wikipedia, the free encyclopedia

George Wald
Remove ads

George Wald (18 Novemba 1906 12 Aprili 1997) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza mabadiliko ya kikemia ndani ya jicho. Mwaka wa 1967, pamoja na Ragnar Granit na Haldan Hartline alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu George Wald kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Thumb
Thumb
George Wald
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads