Gertrude Elion

From Wikipedia, the free encyclopedia

Gertrude Elion
Remove ads

Gertrude Belle Elion (23 Januari 1918 21 Februari 1999) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa anajulikana kwa kugundua dawa mpya nyingi. Mwaka wa 1988, pamoja na James Black na George Hitchings alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gertrude Elion kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Thumb
Thumb
Gertrude Elion
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads