Giorgos Seferis

From Wikipedia, the free encyclopedia

Giorgos Seferis
Remove ads

George Seferis (13 Machi 190020 Septemba 1971) alikuwa mwanasiasa na mshairi kutoka nchi ya Ugiriki. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giorgios Stylianou Seferiades. Miaka ya 1957-1962 alikuwa balozi Mgiriki kwa Uingereza. Mwaka wa 1963 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Giorgos Seferis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Thumb
Thumb
George Seferis
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads