Go-Mizunoo

From Wikipedia, the free encyclopedia

Go-Mizunoo
Remove ads

Go-Mizunoo (29 Juni 1596 11 Septemba 1680) alikuwa mfalme mkuu wa 108 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Masahito. Mwaka wa 1611 alimfuata Go-Yozei, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 22 Desemba 1629. Aliyemfuata ni binti wake, Meisho.

Thumb
Mchoro wa Go-Mizunoo

Angalia pia

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Go-Mizunoo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads