Go-Nara
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Go-Nara (26 Januari 1497 – 27 Septemba 1557) alikuwa mfalme mkuu wa 105 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Tomohito. Tarehe 9 Juni 1526 alimfuata baba yake, Go-Kashiwabara, na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata ni mwana wake, Ogimachi.

Angalia pia
![]() |
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Go-Nara kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads