Gok (jimbo)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Gok State ni mojawapo kati ya majimbo 32 yanayounda Sudan Kusini.
Imegawanyika katika kaunti 6:
- Cueibet County (makao makuu: Bueibet),
- Abiriu County (makao makuu: Abiriu),
- Duony County (makao makuu: Duong),
- Waat County (makao makuu: Pagor),
- Anyar Nguan County (makao makuu: Tiaptiap) na
- Malou-Pech County (makao makuu: Malou).
Remove ads
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads