Jimbo la Gombe
jimbo nchini Nigeria From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Jimbo la Gombe liko kaskazini mwa Nigeria, ni mojawapo ya majimbo 36 ya nchi hii; mji mkuu wake ni Gombe.

Jimbo la Gombe, ambalo jina lake la utani ni 'Mkufu katika Savannah', liliundwa Oktoba 1996 kutoka katika sehemu ya kale ya Jimbo la Bauchi na serikali ya kijeshi ya Abacha. Jimbo hili lina ukubwa wa eneo la 20,265 km ² na jumla ya idadi ya watu karibu 2,353,000 kulingana na 2006. [2] Kati ya idadi yote ya watu, takriban 7.8% ni wameambukizwa HIV[3]
Remove ads
Maeneo ya utawala
Gombe imegawanywa katika Maeneo ya Serikali za Mitaa takribani kumi na moja. Nayo ni:
|
|
|
Takwimu za watu
Wakaazi wa Jimbo la Gombe ni haswa watu wa kabila la Fulani.
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads