Gordian II

From Wikipedia, the free encyclopedia

Gordian II
Remove ads

Marcus Antonius Gordianus Sempronianus Romanus Africanus (takriban 192 12 Aprili, 238) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 22 Machi, 238 hadi kifo chake. Alijulikana kama Gordian II kwa vile alitawala pamoja na baba yake, Gordian I, wakiasi dhidi ya Maximinus Thrax.

Thumb
Shaba inayoonyesha Kaizari Gordian II

Tazama pia

Thumb Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gordian II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads