Mnyuzi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mnyuzi ni kata ya Wilaya ya Korogwe Vijijini katika Mkoa wa Tanga, Tanzania.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 5,822 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 19,174 waishio humo.
Msimbo wa posta ni 21609.
Mnyuzi ina vijiji vifuatayo: Shamba Kapori, Mkwakwani, Kwamzindawa, Mnyuzi na Lusanga.
Kata inapitiwa na mto Pangani.
Huko Hale kuna Maporomoko ya maji ya Pangani yanayotumiwa kwa kituo cha umememaji, sawa na kituo kikubwa kilomita 8 chini zaidi[2].
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads