Harry Potter
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Harry Potter ni mfuatano wa vitabu saba vya fantasia vilivyoandikwa na mwandishi Mwingereza J.K. Rowling. Hivi vitabu vinasimulia maisha ya mchawi mchanga, Harry Potter, na marafiki wake, Ron Weasley na Hermione Granger, wote wanafunzi wa Shule ya Hogwarts ya Uchawi. Mandhari kuu ya hizi hadithi inahusu mzozo baina ya Harry na Lord Voldemort, mchawi mwovu ambaye ana nia ya kuepuka kifo milele, kupinduza baraza linalowaongoza wachawi na linalojulikana kama Wizara ya Uchawi, na kuwafanya watu wote watumwa walio wachawi na wasio. (watu wasio wachawi wanajulikana kama Muggles).
![]() |
Makala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Harry Potter kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads