Mkoa wa Hatay
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Hatay ni mkoa uliopo kusini mwa nchi ya Uturuki, katika pwani ya Mediteranea. Kwa upande wa kusini na mashariki mwa mkoa huu, unapakana na Syria. Mkoa unawakazi wapatao 1,386,224. Wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 5,403.
Remove ads
Wilaya zake
Mkoa wa Hatay umegawanyika katika wilaya 12 (wilaya kubwa zimewekewa kukooza):
Historia
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads